0

Utangulizi wa Story,,,,
Nilipojiunga na elimu ya Sekondari nilikuwa mshamba sana na mambo ya mapenzi mimi wala nilikuwa siyajui na wala sikuwa na mawazo hayo.Nilipokuwa na wenzangu niliwasikia wakipiga stor kuhusu wasichana, na mimi nilikuwa nasapot tu ila kiukweli sikuwa najua chochote wala sikuwa na mazoea na wasichana wa pale darasani na ata wao walitambua hilo.Siku moja tulikuwa kwenye foleni ya kupata chai mda wa saa nne,shile ilikuwa ya kutwa ila saa nne tulikuwa tunakunywa chai pale shuleni.Nilichukua chai, nikawa naenda kukaa ila kabla sijafanya hivyo kuna dada alikuja na kunipamia kitendo kilichofanya chai yangu kunimwagikia na vipande vyangu vya mkate vikaloa.nilipomwanga­lia yule dada hasira zilinipanda kwa sababu dada yule alikuwa anatokea kidato cha pili sasa humu kwenye darasa la kidato cha kwanza amefuata nini?
Nilimwangalia kwa hasira mda huo shati langu limeloa chai.kabla sijaongea chochote alinishika mkono akanipeleka mpaka nyuma ya darasa mda huo nina hasira kweli yani yule dem niliogopa kumpiga kwa sababu ni form two yani angekuwa form one kama mimi ningeshamtwanga ngumi ya kichwa.tulipofika nyuma ya darasa aliachia mkono wangu alafu akaniambia,
"mambo.najua nimekuudhi na nimekuleta huku ili kama ni kunipiga unipige tu mtu asione.naomba nisamehe "
"nitakusamehe sawa.ila nitakaaje mpaka jioni na sijaja na sweta shati langu umenimwagia chai"
"usihofu nitakusaidia.Aliponi­ambia maneno hayo akaenda darasan kwao akaja akiwa amevaa sweta.nilijua anataka kunipa lile sweta ila haikuwa hivyo kwani aliponifikia alinishika mkono akaniambia "twende hivi"
aliongea dada yule uku anatangulia mimi nikawa namfuata uku nimeshika shati langu nalivuta kwa mbele ili lisiniguse mwili kwani ilikuwa inanikera kwa jinsi ilivyokuwa limelowa chai,Tulifika mahali akaingia kwenye mahindi ya shule.nilisita kidogo kumfuata mpaka aliponiita uku ananionyesha ishara kwa mkono kuwa nimfuate.Tuliingia katikati ya mahindi mpaka nikawa nikiangalia nyuma sioni shule.Dada yule alisimama akavua sweta lake akataka kunipa ila kabla sijapokea akaibania kwenye mapaja yake kisha akavua shati lake na kunikabidhi niivae,yeye akabaki na kikata mikono kilichozuia matiti yake tu mimi nikawa nakodolea macho kifua cha binti yule yani alikuwa mweupe kitovu kimetoboka kiaina matiti yamekaa vizuri kiuno kimekata kama nyigu,kwa mbali mate yakaanza kunitoka ukizingatia hakukuwa na mtu kule kwenye mahindi yani ilibaki kidogo nimrukie,
"vaa hilo shati langu nipe lako nikakufulie ntakuletea kesho."aliongea kwa kunong'ona baada ya kuona nimepokea shati silivai zaidi ya kumtolea macho,
"hapana dada alafu wewe?
"usijali kuhusu mimi we vua hilo shati lako nipe"Nilivua nikamkabidhi mimi nikavaa lake,Yeye akavaa sweta bila shati.lile shat langu akawa amelishika mkononi.
"naitwa Rita.wewe je"
"naitwa Sparner"
Nimefurah kukufaham ila siumenisamehe"
"ndio"
Usiku sikulala yani nilikuwa nakumbuka kifua na umbo la yule dada ile picha ilikuwa inanijia mara kwa mara,
Siku zilienda tukazoeana na Rita ila shati langu hakunipa yani ilikuwa kama tumebadilishana.Siku­ moja ijumaa ilikuwa siku ya mpira pale shuleni yani kuna team ya shule nyingine inakuja kuchuana na shule yetu.Wakati mpira unaendelea Rita alinifuata akaniambia
"twende nikakupe shati lako"
alishika mkono tukawa tunakatiza pembeni ya uwanja uku wanafunzi wakituangalia.
Safari yetu iliishia kwenye nyumba moja nzur sana ambayo haikuwa mbali sana na shule kisha tukaingia ndani.
"usijali apa ndio kwetu wazaz wangu hawapo huwa wanarudi jioni hivyo kuwa na amani"
Nillitikia nikataka kukaa kwenye sofa pale sebuleni ila kabla sijakaa Rita akaniambia
"usikae hapo.njoo uku chumbani nikupe shati lako na wewe unipe langu alafu turudi shule"
alitangulia chumbani na mimi nikawa namfuata uku nina wasiwasi kidogo kuhusu hili shati la kupeana chumbani,Tulipofika chumbani nilikuwa nashanga shangaa uzuri wa nyumba ile ila nilipoangalia ukutani kuna picha niliiona ambayo ilinishangaza kidogo, macho yangu bado yalizid kuangalia ile picha kwani nilishindwa kuielewa hii mambo inakuaje,,.....
Ni utangulizi wa Story mpya inayokwenda kwa jina la
"NILAMBE APA"

Post a Comment

 
Top