0
Mafiriko ya UKAWA na Mgombea wao Mh E.Lowassa yameendelea leo mjini mbeya
Baadhi ya picha hizi hapa

Askari wa CHADEMA wakiwa katika doria uwanjani

Askari Polisi wakiwa wamefunga barabara kuzuia maandamano

wanafuasi na wanachama wa UKAWA wakiwa katika misafara

wafuasi wakiendelea na misafara na kukaidia amri ya polisi

wafuasi wa UKAWA wakiwa kwenye mkutano



mafuriko yakiwa barabarani

Post a Comment

 
Top