...Wema Sepetu Akizungumza katika kipindi cha Take one cha Clouds TV Amesema Anamchukulia Kajala kama mtu Ambae Hawajawahi kuonana na wala hamfahamu
Wema Amedai Kajala ndio aliyemkosea na mpaka wakagombana na urafiki kufa lakini Kajala Japo ni mtu mzima kuliko yeye hajawahi hata siku moja kumtafuta na kumkalisha chini na kumuomba msamhaa kwa aliyomfanyi, pia amewatupia lawama washauri wake na kudai wanamshauri vibaya
- 'Mimi sina kinyongo na mtu, unajua mtu ambaye ana kinyongo na mtu ni mtu ambaye hawezi kukaa bila kumuongelea mtu fulani. Mimi sijawahi kukaa na kumuongelea Kajala na nimemchukulia kama ni mtu ambaye ameshapita kama upepo. Hajui kutumia utu uzima wake ni mtu mzima for nothing, ni mtu mzima fulani lakini hana akili. Sio tu hana akili pia naona pia washauri wake ni wabaya,” alisisitiza Wema.
Ikumbukwe Kiini cha Ugomvi wao ni Baada ya Kajala Kusemekana Ametoka na Bwana wa Wema Sepetu wa Kipindi hicho CK.
Post a Comment