0
Tovuti ya Forbes imetoa orodha wa wasanii wa kike waliolipwa fedha nyingi zaidi kwa kipindi cha mwaka mmoja kuanzia Juni mwaka jana – Taylor Swift ameongoza orodha hiyo kwa kuingiza kiasi cha dola milioni 170.
2391-taylor-swift-red-lips-hd-1280x720-1-6734
Malkia huyo wa muziki wa Pop nchini Marekani ameongoza orodha hiyo kutokana na kuingiza fedha nyingi kutokana na ziara yake ya 1989 World, dili za matangazo ya mbalimbali aliyokuwa nayo kama Diet Coke, Keds na kampuni ya  Apple ambayo humpatia fedha nyingi.
Hii ni Top 10 ya wasanii hao wa kike waliolipwa fedha zaidi.
2. Adele ($80.5 million)
3. Madonna ($76.5 million)
4. Rihanna ($75 million)
5. Beyoncé ($54 million)
6. Katy Perry ($41 million)
7. Jennifer Lopez ($39.5 million)
8. Britney Spears ($30.5 million)
9. Shania Twain ($27.5 million)
10. Celine Dion ($27 million)

Post a Comment

 
Top