MALAWI: Mwanaume Eric Aniva, aliyeshiriki ngono na wanawake tofauti 104 akitekeleza mila huku akijua ameathirika na UKIMWI, a...
Wabunge waishauri serikali kutosaini mkataba wa EPA
Wabunge wa Tanzania wameishauri serikali kutosaini mkataba wa ushirikiano kiuchumi kati ya umoja wa Ulaya na nchi za Jumuiya ya Afrika masha...
TANESCO Yatoa Taarifa Kufafanua Kuhusu Bei ya Umeme
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa iliyotolewa katika vyombo mbalimbali vya habari...
Baada ya ‘Scorpion’, Hii Nyingine Imetokea DSM ya Rambo Mkata Mapanga
Wiki chache baada ya kutokea kwa stori za ‘Scorpion’ ambaye alizichukua headlines kutokana na kuhusishwa kwake na matukio ya uporaji...
Kangi Lugola Adai Mkataba wa EPA Utatuletea USHOGA.....Asisitiza serikali isiusaini ili Kuwalinda Wanaume
Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola, ameupinga kwa nguvu zake zote mkataba wa EPA kwa madai kwamba hauna manu...
TANZIA:Aliyewahi kuwa Waziri wa elimu awamu ya tatu, Joseph Mungai afariki dunia
Aliyewahi kuwa waziri wa Elimu Tanzania Joseph Mungai amefariki Dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu ...
Waziri Kigwangalla ajibu kwanini serikali ya China isichangie gharama ya matibabu ya waathirika wa ajali za bodaboda
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt Hamisi Kigwangalla amesema vyombo hivyo vinavyoingia nchini kuna ma...
Wezi waiba hela na kutoweka na mtambo wa ATM
Polisi nchini Kenya katika jiji kuu Nairobi wamemkamata mlinzi wa Benki ya Equity kuhusiana na wizi mwishoni mwa wiki ambapo wezi walitowe...
Serikali yaainisha namna ya kukifanya kinywaji cha Gongo kuwa salama kwa matumizi
Serikali yazitaka sekta binafsi kuwekeza katika kuanzisha viwanda vidogo vya kuboresha kinywaji cha kienyeji aina Gongo kwa kuzingatia usa...
Polisi 152 wafukuzwa kutokana na utovu wa nidhamu
Naibu waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Hamad Masauni amesema kuwa serikali imewafukuza askari polisi 152 kwa makosa ya utovu wa nidhamu...
TB Joshua amtabiria Hillary Clinton kuwa Rais mpya wa Marekani
Mchungaji maarufu duniani kutoka Nigeria, Temitope Balogun Joshua maarufu kwa jina la TB Joshua amemtabiria mgombea wa Urais wa chama cha De...
Kikwete asema Tanzania itaandikwa kwa wino wa dhahabu kupitia michezo
Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete, amesema muda si mrefu Tanzania itaandikwa na wino wa dhahabu kwenye sekta ya michezo na...
Trump aondolewa jukwaani baada ya mtu kupiga kelele za kuwepo bunduki
Service walilazimika kumuondoa haraka jukwaani mgombea wa Urais wa Marekani wa chama cha Republican, Donald Trump Jumamosi hii wakati akiong...
TMA yatahadharisha nchi kukumbwa na ukame
Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA) - imeendelea kuwataka Wakulima kufuatilia kwa ukaribu Taarifa za hali ya hewa pamoja na kuzingat...
Lugora: Mawaziri acheni kumpotosha Rais
MBUNGE wa Mwibara, Kangi Lugora (CCM) amewaonya baadhi ya mawaziri kutompotosha Rais John Magufuli kuwa fedha zimepotea, kutokana na b...
Walimu Watatu Watiwa Mbaroni Kwa Kuwazuia Wanafunzi Kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne
POLISI mkoani Dodoma inawashikilia walimu watatu wa shule za sekondari kwa tuhuma ya kuwazuia wanafunzi wa kidato cha nne, kufanya Mt...
Kesi ya kwanza yaanza Kusikilizwa Mahakama ya Mafisadi Dar
Hatimaye Mahakama Kuu Kitengo cha Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi maarufu kama Mahakama ya Ufisadi imeanza rasmi usikilizaji wa kes...
ACT Wazalendo wahofia watoto wa maskini kukosa mikopo
Chama cha ACT Wazalendo kimepinga utaratibu wa sasa wa utoaji mikopo wa elimu ya juu ambao wanasema ukiachwa bila kupingwa utasababisha wa...
Wanaojichubua wana matatizo ya kisaikolojia – Profesa Mlama
Watu wanaopenda kujibadilisha miili na ngozi zao kwa kutumia vipodozi vyenye kemikali za kujichubua na kubadilisha mwonekano wa sehemu za ...









