Mbunge wa Mwibara
Kangi Lugola, ameupinga kwa nguvu zake zote mkataba wa EPA kwa
madai kwamba hauna manufaa yoyote kwa taifa letu na kwamba ndani ya
mkataba huo kuna vishiria vya USHOGA
Lugola aimeitaka serikali isiusaini mkataba huo ili kulinda maumbile ya wanaume yanayotaka kuharibiwa kupitia mkataba huo.
Msikilize hapo chini alipokuwa akitoa mchango wake bungeni
Post a Comment