Aliyewahi kuwa waziri wa Elimu Tanzania Joseph Mungai amefariki Dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu
Geofrey
Mungai mtoto wa Marehemu amesema marehemu alipelekwa hospitali ya Taifa
Muhimbili baada ya kuanza kutapika mfululizo na kudhaniwa kwamba
alikuwa amekula kitu kibaya.
Post a Comment