0
Drake anajua kuuteka moyo wa Rihanna – kanunua bango kubwa la barabarani na kumuandikia ujumbe wa pongezi.
drake-rihanna-billboard
Rapper huyo amechukua uamuzi huo wa kununua moja kati ya mabango makubwa ya barabarani kutokana na tuzo ya heshima anayotarajiwa kupewa wikiendi hii kwenye tuzo za MTV VMA. “Congratulations to Rihanna from Drake and everyone at OVO,” limeandikwa bango hilo.
“When he extra ❤!!!.”Baada ya zawadi hiyo, kupitia mtandao wa Instagram, Rihanna ameandika,
Hivi karibuni wawili hao wamekuwa wakihusishwa kutoka kimapenzi japo hakuna hata mmoja kati yao aliyethibitisha hilo

Post a Comment

 
Top