Kocha wa zamani wa Man City Manuel Pellegrini ametangazwa kuwa kocha mpya wa timu ya Hebei China Fortune inayoshiriki ligi kuu ya China.
Pellegrini,62, anaenda kukinoa kikosi hicho chenye nyota wa zamani wa Psg Ezequiel Lavezzi, pia yupo Gervinho na mchezaji wa zamani wa Chelsea Gael Kakuta
Post a Comment