Hatimae Mwanamuziki Ney wa Mitego na Mrembo Shamsa Ford Wamekubali live Bila chenga kwamba wao ni Wapenzi na wanapika na Kupakuwa...Hiii imekuja baada ya Muda Mrefu Kukataa kuwa wao ni wapenzi...Nay na Shamsa Wameongea Hayo Kwenye Global Online TV ya Global Publishers....
Post a Comment