0
Klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba February 13 2016 ilishuka dimbani kuvaana na wenyeji wao klabu ya Stand United katika mchezo wake wa 19 wa Ligi Kuu Tanzania bara, Simba walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-1, magoli ya Simba yalifungwa na Hamis Kiiza dakika ya 37 na 47, wakati goli la kufutia machozi la Stand United lilifungwa dakika ya 89 na Pastore Atanus. Hii ni video ya magoli yote mtu wangu yaliofungwa katika mechi hiyo.

Post a Comment

 
Top