Akiongea jana mjini Nebraska, Trump amesema waafrika ni watumwa wanaoishi kitumwa kwenye ardhi yao wenyewe na bado wanajiita wako huru.
Trump alikuwa akijibu swali la mwandishi wa habari kutoka Afrika ya kusini kama anafikiri viongozi wa kiafrika walikuwa sawa kutaka kutoka mahakama ya kimataifa ya uhalifu ‘The Hague’. “Ni aibu kwa viongozi wa Afrika kutaka kutoka ICC. Kwa mtazamo wangu, viongozi hawa wa kiafrika wanahitaji uhuru wa kuwakandamiza watu wao maskini bila mtu yeyote kuwauliza maswali.zi wa kiafrika walikuwa sawa kutaka kutoka mahakama ya kimataifa ya uhalifu ‘The Hague’. “Ni aibu kwa viongozi wa Afrika kutaka kutoka ICC. Kwa mtazamo wangu, viongozi hawa wa kiafrika wanahitaji uhuru wa kuwakandamiza watu wao maskini bila mtu yeyote kuwauliza maswali.
Nafikiri hamna njia fupi kulekea kwenye ukomavu na kwa mtazamo wangu, Afrika inatakiwa kutawaliwa tena kwa sababu waafrika bado wapo kwenye ukoloni.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.