0
Msanii wa muziki nchini Tanzania, Winfrida Josephat “Rachel
Mwanamuziki nchini Tanzania, Recho, amefunguka kutotumia dawa zozote za kulevya kutokana na kuzagaa tuhuma kuwa anatumia madawa ya kulevya kitu ambacho amedai kuwa sio cha kweli.
Amesema kuwa katika maisha yake hajawahi kutumia dawa za kulevya hata kidogo na kudai kuwa huwa anaumia anaposikia taarifa hizo kwani hajui hata radha yake na kusema anadhani watu walio wengi wanamfananisha na mwanamuziki Rehema Chalamiala ‘Ray C’.
Amesema kuwa watu wengi humfananisha na mwanamuziki huyo na huenda hata hilo pia wamemfananisha na kudai kuwa hatumii kabisa dawa hizo za kulevya.

Post a Comment

 
Top