0

Kocha wa Yanga Hans Van Pluijm
Kocha wa Yanga Mholanzi Hans Van Pluijm ametamba kuwa kikosi chake kipo fiti kwa michuano ya kagame hivyo kuwataka mashabikiwasiwe na Presha.
Kocha huyo ametoa kauli hiyo mapema leo wakati timu hiyo ikifanya mazoezi katika uwanja wa karume jijini Dar es Salaam ambapo amesisitiza kuipa nafasi timu kuonyesha kandanda safi.
“Kikosi kipo poa sana na tuanaamini ni kikosi bora katika michuano ya kagame,”amesema Pluijm

Post a Comment

 
Top