0





Aliyekuwa Spika wa Bunge, Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati akipatiwa matibabu nchini Ujerumani.Taarifa  za  kifo chake zimethibitishwa na Mwanae Benjamin Sitta.

Mungu aiweke Roho ya marehem mahali pema peponi ...Amina

Post a Comment

 
Top