Adele ametangazwa kuwa msanii tajiri zaidi nchini Uingereza kwa sasa.
Gazeti la Britain’s Heat limetoa ripoti hiyo kuwa kwa sasa Adele ana utajiri wa dola milioni 114 ukilinganisha na mwaka jana ambapo alikuwa na utajiri wa dola milioni 47 na kushika nafasi ya 43.
Muimbaji huyo ameongoza orodha hiyo kutokana na kuingiza fedha nyingi kutokana na mauzo kutoka kwenye albamu zake, dili za matangazo mbalimbali aliyokuwa nayo.
Hawa ni wasanii kumi wanaoongoza kwenye orodha hiyo.
2) Daniel Radcliffe, 27 ($91.6, Harry Potter)
3) Ed Sheeran, 25 ($55.8 million)
4) Zayn Malik, 23 ($47.1 million)
5) Harry Styles, 22 ($45.8 million)
6) Emma Watson, 26 ($43.3 million, Harry Potter)
7) Liam Payne, 23 ($42.1 million)
8) Niall Horan, 23 ($42.1 million)
9) Louis Tomlinson, 24 ($40.9 million)
10) Rupert Grint, 28 ($35.9 million, Harry Potter)

Post a Comment