Mtangazaji wa Clouds FM, Diva Tha Bawse amekanusha taarifa iliyoandikwa na gazeti la udaku la Kiu kuhusu kumendewa na bilionea wa Arusha
"Tell them am looking for the real thing "a commitment? and that?s hard to find kipitia magazeti"Diva ameiambia Bongo5.
"in case kweli wana nia waje watoe posa kwa Mzee Malinzi and then wanichangie charity yangu riding on the gossip front pages with kusakana kimapenzi not my thing," ameongeza.
Diva amesema ameamua kujibu kilichoandikwa na gazeti hilo kwakuwa anapenda watu wajue kuwa nguvu yake nyingi ameiwekeza kwenye mradi wa kurudisha kwa jamii kwa kusaidia watu wasiojiweza kupitia taasisi yake ya Diva Giving For Charity.
Post a Comment