MSANII wa filamu na muziki, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amepiga picha zinazomuacha sehemu kubwa ya mwili wake wazi (nusu utupu) huku wengine wakimfananisha na Mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian.
Akijitetea mbele ya Amani kuhusu picha hizo, Sabby alisema kuwa hakuna cha ajabu yeye kupiga picha za namna hiyo kwa sababu hazina matumizi mengine mabaya zaidi ya kuwa nazo na alifanya hivyo kwa kujifurahisha tu.
“ Sidhani kama picha zina ubaya wowote ni kwa ajili ya matumizi yangu binafsi na si ya mtu mwingine yeyote ile, nimepiga kwa mapenzi yangu mwenyewe,” alisema Sabby.

posted from Bloggeroid
Post a Comment