NYUMBA moja iliyoko maeneo ya Buguruni Malapa Manispaa ya Ilala Jijini Dar es salaam, imeteketea kwa moto na kusababisha vifo vya watu tisa. Mashuhuda wa Tukio hilo wamesema chanzo cha moto huo hakijajulikana, na mpaka sasa tayari miili mitano imeshatolewa.
posted from Bloggeroid
Post a Comment