Ifuatayo ni ratiba ya mgombea Urais kupitia CHADEMA, Edward Lowassa kuanzia tarehe 14 August 2015 siku ambayo ni ya kuchukua fomu mpaka tarehe 22 August 2015 siku ambayo kipenga cha kampeni kitapulizwa rasmi.
Mafuriko yatakuwa hivi
14 Agosti: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Mbeya
15 Agosti: Arusha
16 Agosti: Mwanza
17 Agosti: Zanzibar
21 Agosti: Kurudisha form NEC.
22 Agosti: Kampeni kuanzia Dar es Salaam
Tunategemea mafuriko makubwa Jiji la mbeya
Na mafuriko makubwa jiji la Arusha
Pia Mafuriko makubwa Jiji la mwanza
Post a Comment