0

Taarifa za ndani na uhakika ni kwamba Tanzanite One Mining Ltd kampuni ya uchimbaji wa madini ya Tanzanite ipo katika hali mbaya kifeha.

Ikumbukwe Tanzanite One imeuzwa kwa wazawa kutoka kampuni ya wageni (south Africa) tangu ilipochukuliwa na wanaojiita wazawa wakiongozwa na Hussein Gonga mkaazi wa Arusha hali ya kifedha imezidi kuwa mbaya,wafanyakazi wanamaliza mwezi wa pili bila kulipwa mishahara,vifaa vingi kwaajili ya uchimbaji vimeshindwa kununuliwa,wazabuni mbali mbali hawajalipwa fedha tangu mwezi December mwaka jana.

Kodi mbali mbali za serekali hazijalipwa.Nii ajabu wanaojiita wazawa tena wanaodai wanauwezo na ujuzi wa kuchimba madini wanaliingiza taifa katika hatari ya kupoteza ajira za waTanzania zaidi ya 400 kwa mara moja.

Kibaya zaidi wazawa wamefuta idara za usafishaji,ukataji w madini na hivyo madini yote kusafirishwa nje ya nchi hasa India kwaajili ya kuongeza thamani ya madini na kuzalisha ajira India.

Source JF ngongo

Huku kampuni hiyo mliki halali akiwa hatambuli ila wadau walidai ni

MDAU JF TWENTY4SEVEN
"Hussein gonga n faisal ni madealer wa gemstones hapa atwn....ila juu yao yuko prince we2 cz mkataba haujulikani cnc 2014 production imekua haieleweki mana huo mgodi kwa mwezi unatumia karibia 1bn.....kuanzia salary,zana,chakula,umeme,mafuta etc.
Pia shaft nyingi hazifanyi kazi wameshindwa kuhudumia"

Hakuishia hapo aliendelea kwa kuisimamia point yake
"Hussein n faisal ni vibaraka 2 hawajanunua chochote wanatumiwa n prince......toka wamechukua mgodi huo kila m2 anatimu yke ya kupiga bomu n nguzo instead ya kusukuma shaft yani faisal anawatu wake hivyohivyo hussein ana kundi lake.
Fununu wanafanya hivyo kupiga hela ili mwezi wa 11 wasepe hussein kajaza warangi tupu plus wezi wa mawe waliokubu mererani"
Prince wa tanzania ni ..?

Pia mdau mtoa Hoja NGONGO
Aliyatoa Haya....
Mkuu tweenty4seven wewe kweli ni mdau wa Tanzanite One Mining mambo ulisema ni kweli 100%.Mimi ni mdau mkubwa enzi za Makaburu nikuwanafanya biashara kubwa ya lubricants lakini walipoingia Hussein Gonga na Faisal ulipaji ukawa wa kusuasua nilipolipwa fedha zangu nikaacha kufanya biashara na nao.Walijaribu kunitumia order kadhaa nikagoma kusupply.Nikawawekea conditions wakashindwa CWO wanataka mkopo kulipa mpka uende kama mara kumi ulie kilio cha mbwa ndio wakufikirie ukimpgia simu Finance Manager Bwana Saitoti wala hapokei ndio nikawapiga chini sitaki biashara yao kabisa.

Ni kweli Bwana Hussein Gonga kawajaza warangi wenzake utafikiri anakwenda kugombea ubunge Kondoa.Idadi ya wafanyakazi walioajiriwa kipindi anakabidhiwa mgodi haiendani na kazi zilizopo pamoja na huduma za wachimbaji kama matundu ya vyoo,mabafu ya kuogea na nk.

Jambo baya zaidi ni kitendo cha kulipua nguzo ambazo ni muhimu kwa usalama wa mgodi.jambo hili linafanyika kw maksudi kabisa huku maafisa usalama wakiangalia kuna siku utasikia maafa makubwa yametokea ndio utasikia tume za kibabaishaji zinaundwa ihali ukweli unajulikana.

Vifaa vingi havifanyikazi hasa shaft zimewashinda kabisa ndio maana wanakimbilia kulipua nguzo kukwepa gharama za kuendesha shaft.

Wataalamu wengi hasa wazungu toka South Afrika wametimuliwa kwasababu walikuwa wanakula nguruwe wakaonekana hawafai kabisa utaalamu wao ukawekwa kando.Waongoza njia vi vibaka wa porini hasa Merereni ambao wanafanyakazi kwa uzoefu tu pasipo ujuzi wowote,kibaya zaidi wengi ni wezi wa mawe waliokubuhu matokeo yake mawe mengi yanaishia njia matajiri wanaolipa mishahara,chakula na gharama kubwa za mgodi wanaambulia mawe machache sana huku wakibebeshwa gharama kubwa za kuendesha mgodi.
Kwa habari zaidi tembelea link hapo
Chini
BOFYA HAPA KUENDELEA

Post a Comment

 
Top