Add caption |
Ila moja kati ya Bombastic couple in town ni ya AIKA na NAHREEL kwa pamoja wanaitwa NAVY KENZO mara kadhaa tumemskia AIKA akielezea namna walivyokutana sasa kwa mara ya kwanza NAHREEL aeleza namna walivyo kutana yeye na mpenzi wake huyo,Nahreel aliongea hayo walipokua katika moja ya show za fiesta mara alipopata nafasi ya kuongea na wanafunzi huko bukoba.
“Aliwaambia wanafunzi, nilikutana naye shule, na mimi nikawaambia, na sasa tunatumia akili yetu ya shule kufanya mzik
Post a Comment