Mh.waziri Maghembe amechukua hatua hiyo baada ya kutembelea na kukutana na wafanyakazi wa mamlaka hiyo,na amese mahatua zingine zitafuata kwa watumishi hao ambao wote watano ni wa idara yauhasibu. Kuhusu watumishi wanaohamishwa ambao ni wa idara mbalimbali ikiwemo uhandisi,utalii na ikolojia Mh.Prf.Maghembe amesema hatua hiyo inalenga kutoa mafasi ya kuendelea kufanyika kwa uchunguzi zaidi juu ya tuhuma mbali mbali zinazowakabili. Mhifadhi wa Mamlaka ya Ngorongoro Bw.Fredy Manongi pamoja na kukiri kuwa mamlaka inakabiliwa na changamoto mbalimbali amesema kwa sasa tatizo kubwa ni ujangili unaofanyika katika maeneo ya mipakani japo amesema wanaendelea kuzikabili. Hii ni ziara ya kwanza ya Waziri wa Maliasili na Utalii Jumanne Maghembe katika mamlaka hiyo ambayo amesema ni mwendeleza wa utekelezaji wa azma ya serikali ya kuimarisha uwajibikaji,ukusanyaji wa mapato na kuimarisha shughuli za uhifadhi.
Waziri Wa Maliasili Awasimamisha Kazi Watumishi 5 ,Wengine 15 Wahamishwa mamlaka ya Ngorongoro.
Mh.waziri Maghembe amechukua hatua hiyo baada ya kutembelea na kukutana na wafanyakazi wa mamlaka hiyo,na amese mahatua zingine zitafuata kwa watumishi hao ambao wote watano ni wa idara yauhasibu. Kuhusu watumishi wanaohamishwa ambao ni wa idara mbalimbali ikiwemo uhandisi,utalii na ikolojia Mh.Prf.Maghembe amesema hatua hiyo inalenga kutoa mafasi ya kuendelea kufanyika kwa uchunguzi zaidi juu ya tuhuma mbali mbali zinazowakabili. Mhifadhi wa Mamlaka ya Ngorongoro Bw.Fredy Manongi pamoja na kukiri kuwa mamlaka inakabiliwa na changamoto mbalimbali amesema kwa sasa tatizo kubwa ni ujangili unaofanyika katika maeneo ya mipakani japo amesema wanaendelea kuzikabili. Hii ni ziara ya kwanza ya Waziri wa Maliasili na Utalii Jumanne Maghembe katika mamlaka hiyo ambayo amesema ni mwendeleza wa utekelezaji wa azma ya serikali ya kuimarisha uwajibikaji,ukusanyaji wa mapato na kuimarisha shughuli za uhifadhi.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.