0
Jack Wolper amejikuta katika wakati mgumu baada ya kupost mtandaoni picha ya maiti ya Marehemu Kaloosh ikiwa katika jeneza...Baada ya tukio hilo watu mbali mbali walianza kumkosoa na wengine kumrushia matusi kwenye page yake kwa kusema sio sahihi kipost picha kama hizo.. Mwenyewe leo amefunguka kama ifuataavyo

Post a Comment

 
Top