Menu
  • About
  • Contact
  • More
    • Menu 1
    • Menu 2
    • Menu 3
    • Menu 4
  • Menu
  • twitter
  • facebook
  • google
  • rss
  • linkedin
  • dribbble
  • pinterest

bongo

Breaking News

bongo. Powered by Blogger.
Menu
  • Home
  • HABARI
  • UDAKU
  • BIASHARA
  • MAPENZI
  • SIMULIZI
  • UREMBO
  • MICHEZO
  • BETTING
Home KITAIFA

Gari la CRDB laopolewa, mfanyakazi hajapatikana

0 KITAIFA 4:55 AM
A+ A-
Print Email

 Gari hilo liliopolewa jana saa nane mchana baada ya kulitafuta kwa siku tano tangu lilipozama Mto Kilombero Januari 27 likiwa katika kivuko cha MV Kilombero II.
Kilombero. Gari la Benki ya CRDB limeopolewa katika Mto Kilombero likiwa na Sh3.5 milioni, huku mfanyakazi wake akiwa hajapatikana.

Gari hilo liliopolewa jana saa nane mchana baada ya kulitafuta kwa siku tano tangu lilipozama Mto Kilombero Januari 27 likiwa katika kivuko cha MV Kilombero II.

Mfanyakazi wa CRDB tawi la Ifakara, Dustan Rwegasira (31) ni miongoni mwa abiria waliokuwamo ndani ya kivuko hicho.

Hata hivyo, jitihada mbalimbali za kukiibua kivuko hicho bado zinaendelea baada ya juzi kutumia mbinu ya kutumbukiza mapipa yaliyojazwa maji kisha kuzamishwa chini ili kukitoa kukwama.

Kazi hiyo inafanywa na timu ya wazamiaji wa Kampuni za M.Divers Limited na May-Marine Go Limited.

Mkuu wa Kikosi cha Uzamiaji na Uokoaji wa Kampuni ya M. Divers Limited, Hafidh Seif alisema: “Hesabu zetu zinakwenda vizuri, yale matangi unayoyaona yanazamishwa baada ya kujazwa maji halafu, yakiwa chini yatageuka maboya kisha yatapanda juu na kivuko hicho na kuvutwa na wenye magari,” alisema Seif.

Seif alisema wanakabiliana na changamoto ya kasi ya maji, lakini wanamshukuru Mungu kazi ya kuondoa maji ndani ya vyumba vya maboya ya kivuko imemalizika salama. 


Share to:
Next
Newer Post
Previous
Older Post

Post a Comment

aprieztmkrdezign
218168578325095

Subscribe to: Post Comments (Atom)
  • Populars
  • Comments
  • Archive

facebook

walumitz.com

twitter

Tweets by walumitz

youtube

Popular Posts

  • Utafiti: Clouds TV na ITV ndio vituo vya runinga vinavyotazamwa zaidi Tanzania
    Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na kampuni ya GeoPoll ya Marekani ambayo ina ofisi jijini Nairobi Kenya, Clouds TV na ITV ni vituo vya runi...
  • Wema Sepetu Amshukia Kajala Masaja..Adai ni Mtu Mzima For Nothing na Hana Akili..Awaponda Washauri wake Pia
    ... Wema Sepetu Akizungumza katika kipindi cha Take one cha Clouds TV Amesema Anamchukulia Kajala kama mtu Ambae Hawajawahi kuonana na wala ...
  • Paul Makonda Atinga mahakamani, Amkataa Hakimu
    Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda jana alitinga mahakamani na kumkataa hakimu aliyekuwa akisikiliza kesi iliyofunguliwa dhidi yake n...
  • IBRAHNATION NILIPIZE Official Video
  • Mti wa upupu unavyotumika katika kutibu tatizo la ngiri kwa wanaume
    Ngiri  ama  hernia  ni  tatizo  linalo  wakabili  wanaume  wengi  duniani. Moja  kati  ya  dalili  kuu  za  tatizo  la  ngiri  ni  pamoja  n...
  • RIWAYA NILAMBE APA~1
    Utangulizi wa Story,,,, Nilipojiunga na elimu ya Sekondari nilikuwa mshamba sana na mambo ya mapenzi mimi wala nilikuwa siyajui na wal...
  • CUF Wamjibu Lipumba.....Wasema Chama Chao Kiko Imara Na Kamwe Hakiwezi Kuyumba, Pia Wameapa Kuilinda UKAWA Kwa Nguvu Zote
    TAARIFA KWA WAANDISHI WA HABARI Leo tarehe 6 Agosti, 2015 Profesa Ibrahim Lipumba aliitisha mkutano na waandishi wa habari katika Hoteli y...
  • Jitibu Magonjwa 300 Kwa Kutumia Mti wa Mlonge
    Mlonge au moringa oleifera kwa kiingereza umekuwa ukijulikana kama mti wa miujiza kwa karne nyingi katika baadhi ya nchi za Afrika, Asia na...
  • Experts Say These Are the Types of Questions You Should Be Asking On Dates
    The craze over the 36 Questions posited by the New York Times last year as the pathway to falling in love with someone would draw skeptic...
  • picha za burudani ya CCM jangwani..wema, diamond, ndani ya jukwaa jionee
    na millardayo
 
bongo © 2013. All Rights Reserved.
Powered by Blogger
Top