https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=796061370179622152#editor/target=post;postID=4474207417823029533BAADA ya kufunga rasmi ndoa ya kimila nchini Naija, staa wa filamu mwenye vituko, Tonto Dikeh amefunguka kuwa pete aliyovishwa na mchumba wake, Mr. X, Oladunni kwenye harusi yake ina gharama ya shilingi milioni 20Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Tonto alitupia picha ya pete hiyo na kuambatanisha na maneno yaliyosomeka; “Mungu amebariki ndoa hii takatifu imetimia, utambulisho umetimia, posa imetimia na ndoa ya kimila imetimia na sasa hivi ni ndoa kubwa.”
Post a Comment