0
Baadhi ya Maafisa Waandamizi, Wakaguzi, Wakaguzi Wasaidizi, Stesheni Sajini, Sajini na Koplo wa Vikosi vya Majeshi ya Ulinzi na Usalama wakifuatilia masuala mbalimbali wakati hafla ya utoaji wa nishani ya utumishi uliotukuka Tanzania, nishati ya utumishi wa muda mrefu na nishani ya utumishi wa muda mrefu na tabia iliyofanyika jana (Jumanne Septemba 1, 2015) Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa majeshi ya vikosi vya Ulinzi na Usalama mara baada ya hafla ya utoaji wa nishani kwa Maafisa Waandamizi, Wakaguzi, Wakaguzi Wasaidizi, Stesheni Sajini, Sajini na Koplo wa Vikosi vya Majeshi ya Ulinzi na Usalama wakati wa hafla ya utoaji wa nishani ya utumishi uliotukuka Tanzania, nishati ya utumishi wa muda mrefu na nishani ya utumishi wa muda mrefu na tabia iliyofanyika jana (Jumanne Septemba 1, 2015) Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Kikwete akimtunuku ACP Bakari Namkaa Ndembo nishani ya utumishi mrefu Tanzania katika hafla iliyofanyika jana jumanne (Septemba 1, 2015) Ikulu Jijini Dar es Salaam.
posted from Bloggeroid

Post a Comment

 
Top