Hapo juu kwa mbali ni meli ya MV Serengeti iliyopigwa na dhoruba ikiwa imebakiza Km chache kufika bandari ya Bukoba.Hadi sasa haijapiga nanga na ipo katikati ya maji na abiria.Vyombo vya dolla vya uokoaji vipo katika jitahada za kuokoa abiria hao.Meli ipo katikati ya kisiwa cha Musira na Bukoba kama inavyoonekana katika picha.Tunaendelea kukuletea picha na updates za tukio hilo
BREAKING NEWS-MELI YA MV SERENGETI YAPIGWA DHORUBA ZIWA VICTORIA,

Post a Comment