ILIPOISHIA..…….
Ghafla tulisikia mlango unagongwa,
“kuna mtu!”
Fridah aliongea kwa sauti, huku mimi nikiendelea kupiga mikiki.
“Fridah mpenzi, fungua mlango.”
Karani aliongea na kutufanya sote tushtuke.
MUENDELEZO WAKE:
Hakuna yoyote kati yetu aliyekuwa tayari kufamaniwa hapo.
“sasa tutafanyaje?”
Usiwe na wasi wasi upo na mimi, naweza kulifanya hili jambo lipotelee mbali, chakufanya wewe nenda kafungue mlango.”
“Nini yani unataka atukute wote hapa!?”
“hapana mimi nitatoweka”
“utawezaje bafu lenyewe hili, alex usifanye mchezo hapa hatuna ujanja .”
“Nimekwambia nenda usikii? Unatakiwa kuniamini.”
Niliongea kauli ambayo , ilikuwa na msisitizo kidogo.
“haya .”
Aliitikia nakwenda kufungua mlango huku akiwa na hofu.
Kabla ajashika kitasa cha mlango huo mimi niliruka sarakasi na kukikanyaga kidogo kitasa kisha kuning’inia kwa kujishikilia kwenye kijidirisha kidogo kilichopo juu ya mlango huo.
Alipoufungua tu na karani kuingia huku akiwa na haraka ya kuchungulia huku na kule ndani ya bafu hilo mimi nilishuka kutokea nje ya mlango kwa kupita juu ya mlango huo kisha Fridah aliufunga mlango.
“upo na nani humu ?”
“peke yangu mpenzi kwani vipi!?”
Aliuliza Fridah akishangaa.
Karani alikuwa kiyapepesa macho yake huku na kule katika bafu hilo , bado alikuwa haamini kwamba kweli hajanikuta humo bafuni.
“Alex yuko wapi?”
“Alex !!!, unamuulizia bafuni? Vipi mpenzi upo sawa lakini?”
“aah, sawa, ulivyoondoka pale nayeye akapotea ghafla”
“kwa hiyo unafikiri nimekuja nae huku bafuni?”
“hapana hapana , sijasema hivyo , baby.”
“sasa kumbe unamaanisha nini?”
“Samahani, mpenzi.”
“sipendi kabisa huo mchezo wako.”
Aliongea fridah kwa ukali, hii ilikuwa mara ya kwanza kwa Karan kufokewa na Fridah.
Alitaka kumbusu ili kumtuliza lakini Fridah alikwepa.
“Embu toka huko.”
Alizidi kufoka.
Karani alijikuta ananyong’onyea, akiwa hajui afanye nini katika choo hicho cha kike kwa ghafla wanawake wawili waliingia na kuwa kuta , ilibidi karani atoke haraka na Fridah alimfuata nyuma.
Waliporudi walishangaa kunikuta nimeketi na Enjol tukigonga kinywaji.
“mlikuwa wapi muda wote huo, sisi tumewasubiri mpaka basi.”
Aliongea Enjol huku tukipata.
“si unajua shemeji yako kwa wivu , anataka kunifuata kila sehemu.”
Aliongea Fridah na kisha kuja kuketi karibu yangu.
“nakwenda kuchukua vinywaji.” Aliongea karani na kisha kuanza kuondoka.
“embu keti na wewe, muhudumu si huyo hapo muagize, unapenda kujitesa bure.”
Aliongea Fridah na kumfanya karani ashindwe kuendelea na safari yake kusema kweli Karani hata hakuwa na safari ya kwenda kaunta kuchukua kinywaji , bali alitamani kuwa peke yake kwa muda kidogo , kwani jinsi Fridah alivyokuwa akimperekesha tangu watoke chooni kulimfanya ajisikie tofauti sana.
Tukiwa hapo tuliendelea kupiga stori na muda mwingi Fridah ndio alikuwa akiongea na muda wote alikuwa akiniongea na mimi aliniuliza mambo mengi sana kuhusu maisha yangu mimi ni mtu wawa wapi , elimu yangu na mambo kede kede ambayo kusema kweli yalikuwa yakimkasirisha Karani kupita kiasi.
Alijisikia wivu na kuhisi Fridah ameanza kuvutiwa na mimi. Zaidi ni pale alipoona kila nacho jibu kipo juu zaidi yake.
Enjol wala hata hakuwa na wazo kama hilo kichwani mwake , alikuwa akiniamini kupita kiasi na alimuamini na rafiki yake pia . japo yeye aliwahi kumsaliti kwa kutembea na karani siku za nyuma pasipo Fridah kujua.
Tuliondoka kwenye ukumbi huo tukiwa tumeburudika kiasi cha kutosha Karani na Fridah walitumia usafiri wao na sisi tulitumia wa kwetu.
Tulipofika nyumbani mimi na jimama enjol, kila mmoja alijitupa kitandani kivyake usiku huo kila mmoja alikuwa hoi. Japo mimi nililala huku nikimuwazia Fridah usiku kucha niliwaza jinsi nilivyokuwa nayaminya minya matako yake na kuchomekamashine yangu kwenye kitumbua chake, na ile sauti ya kimahaba aliyoitoa pale mashine yangu ilipozama kwenye kitumbua hicho ndio loo!, yani nilikuwa nikijisikia mzuka kweli.
Kesho yake niliamka afajiri na kuingia mazoezini na mwalimu wangu kama kawaida, sio siri nilimpenda mwalimu huyu alikuwa hanifundishi kunful peke yake , bali wakati mwingine nilihisi alinifundisha
Mbinu za wizi wa wake za watu, kwa mfano ile mbinu niliyoitumia jana kule hotelini karani alipotaka kunifuma na fridah chooni. Ilikuwa sio mbinu ya kujiami bali ni ya kumtoroka mtu uliye muibia mke wake akitaka kukufuma.
Baada ya mazoezi nilijiandaa na kwenda ofisini, enjol nae aliamka na kujiandaa niliingia kwenye gari na kulitoa huku nikila muziki mdogo mdogo.
Nilipofika ofisini kama kawaida nilianza kuichapa kazi.
Nikiwa kati kati ya kazi yangu , nikasikia simu inaita , ilikuwa namba ngeni nilipopokea nikakutana na sauti laini ya Fridah.
“vipi nimekushtua kukupigia simu mida hii”
“no, sikumbuki kama tulipeana namba.”
“mimi namba yako nilikuwa nayo toka muda mrefu, Enjol alip[okuwa ananisimulia habari zako.”
“habari gani?”
“unataka kuzijua?”
“Ehhh.”
“umeiona hiyo hoteli, iliyo mkabara na ofisi yako.”
“mmh.”
“embu chungulia dirishani uone.”
Sikusita nilichungulia , nilichokiona wala sikuamini.
Frida alikuwa amesimama kwenye dirisha la kioo la chumba kilichokuwa kikikabiliana na change akiwa uchi wa mnyama , akinionyeshea ishara ya mabusu na kuniita niende kuuonja utamu wake.
“unassubiri nini, kuja.”
Aliniuliza kwenye simu.
“hatamimi mwenyewe najishangaa.”
Nilimjibu.
“ni chumba namba 22”
Alinitajia na mimi nilichokifanya nikukata simu kisha nikatoka nje ya ofisi hukumwili wangu wote ukisismka kwa hamu ya kuuonja utamu wa Fridah kwa mara nyingine.
Itaendelea……

Post a Comment