Watengezaji wakubwa wa simu za mkononi TECNO Mobile na Klabu ya ligi ya Uingereza, Manchester City leo wanasherehea uzinduzi wa ushirikiano wa kimataifa kwa miaka kadha. Kama mshirika rasmi wa Klabu ya mpira ya Manchester City, TECNO Mobile itashir… Read more »
Idadi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mwaka 2017
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, George Simbachawene amesema kuwa wanafunzi 526,653 kati ya 555,291 waliofaulu mtihani wa kumaliza darasa la saba mwaka huu wamechaguliwa kujiunga Kidato cha Kwanza mwakani katika shu… Read more »
Wafanyabiashara Wawili wa Madini Wafikishwa Mahakamani kwa Tuhuma za Kulawiti na Kubaka Watoto
Wafanyabiashara wawili mashuhuri wa madini katika miji ya Mererani na jiji la Arusha jana walifikishwa mahakamani mjini Moshi kwa wakikabiliwa na makosa ya ulawiti na ubakaji watoto. Mmoja wao, Welaufoo Munisi (38) anashtakiwa kwa kosa la kumlawiti… Read more »
CUF Yanyimwa Ruzuku....Maalim Seif Ataja Hujuma 9 Zinazofanywa na Profesa Lipumba
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, ameibuka na kutaja utatu unaojumuisha mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi na Jeshi la Polisi akieleza ndio unaoshirikiana kukihujumu cham… Read more »
Jiji la Mbeya ni la pili kwa wingi wa madhehebu barani Afrika likiongozwa na Lagos lililopo Nigeria
Jiji la Mbeya ni la pili kwa wingi wa madhehebu barani Afrika likiongozwa na Lagos lililopo Nigeria. Kwa mujibu wa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Paul Ntinika, jiji hilo lina makanisa 450 na Mtaa wa Sae pekee una madhehebu tisa huku Mtaa wa Simike ukitaj… Read more »
RC Makonda atembelea Uwanja wa Fisi wanapofanya biashara ya ngono....Aahidi Kupavunja na Kujenga Viwanda Vidogovidogo
Jumapili Novemba 27 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda aliendelea na ziara yake katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam akiwa na lengo la kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua. Akiwa katika ziara hiyo, Mkuu wa Mkoa alipita kati… Read more »
Rais Magufuli atunuku Kamisheni kwa Maafisa Wapya wa JWTZ Ikulu Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli, jana tarehe 26 Novemba, 2016 ametunuku Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi 194 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kundi la 59/15 katika viwanja vya Iku… Read more »
Serikali yampokonya Sumaye shamba lake lenye ukubwa wa hekta 33
Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amepokonywa na Serikali shamba lake lenye ukubwa wa hekta 33 kwa kile kilichoelezwa kushindwa kuliendeleza. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi amesema kuwa Serikali imefikia uamuzi huo baada ya Sumaye kushin… Read more »
Lowassa Awajibu wanasiasa waliodai ni mgonjwa na atakufa
Aliyekuwa mgombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amewashukuru wananchi kwa kumpigia kura kwa wingi licha ya baadhi kumsema vibaya kwa kumwita mgon… Read more »