Latest News

0
Mamlaka ya mapato nchini Marekani, inaning’inia shingoni mwa Rick Ross.
rick-ross-birthday
Tovuti ya TMZ imeripoti kuwa IRS inamdai bosi huyo wa MMG karibu dola milioni 5.7 za kuanzia mwaka 2012 hadi 2014.
Kama asipolipa fedha hizo, IRS inaweza kushikilia mali zake na kuziuza.
Ross, si rapper pekee mwenye madeni na IRS. Iggy Azalea anadaiwa $391,000 huku Nelly akiwa na deni la dola milioni 2.

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top