Breaking News: Donald Trump Ameshinda nafasi ya Urais wa Marekani 0 12:45 AM A+ A- Print Email Hatimaye Donald Trump ameshinda nafasi ya Urais kwa kuvuka idadi ya kura za wajumbe kwa kupata kura za wajumbe 276 huku Clinton akipata 218.Muda huu anahutubia kukubali ushindi huo, mpaka sasa Clinton amegoma kusema chochote ==> Msikilize Trump Live akizungumza muda huu hapo chini
Post a Comment