1.Wexford vs Derry City
Derry City leo watakuwa ugenini Ferrycarrig kujihakikishia nafasi ya tatu kwaka msimamo wa ligi ya ireland kwa ushindi dhidi ya wexford youth ambao wanasua sua .. na wanapamba wasishuke daraja.. huku wexford youth wakiwa wamepoteza michezo kumi kati ya 12 iliyopita
na wakiwa wametoka kufungwa kwenye lig cup juma lililo isha na derry city 3-1
leo derry city wakimfunga tena wexford youth itakuwa ni ushindi wa nne mfululizo katika msimu huu...
mzigo wangu na uweka kwa
Derry City odds 1.72
RESULT?
2.Achilles '29 vs Telstar
achiles29 wanashika mkia katika ligi daraja la pili nchini uholanzi, wakiwa wamecheza michezo saba na kushinda mmoja pia ikiwa ni timu ambayo haijatoa clean sheet katika michezo yake 12 iliyopia leo wanakutana na telstar inayohitaji matokeo....ili kujiweka katika nafasi nzuri katika ligi
mechi hii naamini itakuwa na zaidi ya magoli matatu na pia watafungana...
mzigo wangu ni kwa
Telstar DNB odds 1.78
GG&3+ odds 3.55
Telstar -0.5 AH odds 2.60
RESULT?
Derry City leo watakuwa ugenini Ferrycarrig kujihakikishia nafasi ya tatu kwaka msimamo wa ligi ya ireland kwa ushindi dhidi ya wexford youth ambao wanasua sua .. na wanapamba wasishuke daraja.. huku wexford youth wakiwa wamepoteza michezo kumi kati ya 12 iliyopita
na wakiwa wametoka kufungwa kwenye lig cup juma lililo isha na derry city 3-1
leo derry city wakimfunga tena wexford youth itakuwa ni ushindi wa nne mfululizo katika msimu huu...
mzigo wangu na uweka kwa
Derry City odds 1.72
RESULT?
2.Achilles '29 vs Telstar
achilles |
mechi hii naamini itakuwa na zaidi ya magoli matatu na pia watafungana...
mzigo wangu ni kwa
Telstar DNB odds 1.78
GG&3+ odds 3.55
Telstar -0.5 AH odds 2.60
RESULT?
Post a Comment