0


Zimwi la mahusiano linazidi kumtafuna Taylor Swift kwakuwa tayari ameachana tena na mpenzi wake Tomn Hiddleston aliyedumu naye kwa miezi mitatu tu.
Taylor Swift
Wawili hao waliingia kwenye mahusiano baada ya Swift kutengana na aliyekuwa mpenzi wake aliyedumu naye kwa miezi 15, Calvin Harris.
Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa wawili hao amedai kuwa sababu ya kuvunjika kwa mahusiano hayo ni kutokana na Tom kutaka mahusiano yao kuwa wazi zaidi lakini Taylor hakutaka yawe hivyo.
“Tom wants their relationship to be public, even asking Taylor to go to the Emmys with him, but Taylor wants to keep her private life private,” kimesema chanzo hiko.
Tom alikuwa ni mwanaume wa tisa kuwa na mahusiano na Taylor wengine ni :
Joe Jonas (July 2008 – October 2008)
Lucas Till (2009)
John Mayer (August 2009 – November 2009)
Taylor Lautner (November 2009 – February 2010)
Jake Gyllenhaal (October 2010 – December 2010)
Conor Kennedy (July 2012 – October 2012)
Harry Styles (December 2012 – January 2013)
Calvin Harris (March 2015 – June 2016)

Post a Comment

 
Top