
Mama kijacho akiwa kwenye gym iliyopo kwenye ikulu ya mchumba wake Diamond
Mrembo huyo ambaye mwezi huu anaweza kumfanya Diamond awe baba kwa mara ya kwanza, amepost picha Instagram akiwa kwenye gym iliyopo nyumbani kwa mchumba wake huyo wakifanya mazoezi pamoja.
“The struggle is real…… Gotta keep that butt in place with the squats. Phew!!!,” ameandika kwenye picha moja inayomuonesha akiwa amenyanyua chuma kizito.

Katika picha nyingine Zari ameandika, “Well, it’s always easier with ‘man power’ #GymGrind #TeamWork.”
Hata hivyo mashabiki wake wamemuonya kuwa mazoezi hayo yanaweza kumletea madhara.
“That’s serious zari! You can’t carry heavy staff dumb bells and carry heavy staff when you are pregnant !!! I am so shocked , yes you can do minor exercises , walking , swimming tread mill just walking but this is just too much,” aliandika shabiki mmoja.
“Mazoezi yakizidi mimba itachoropoka!! Take care zari,” aliandika mwingine.
Labda wanataka itoke hatujui
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.