0
Sergio Aguero celebrates after scoring Man City's opening goal against ChelseaTimu ya manchester city imeanza vizuri kuwania mbio za ubingwa wa ligi kuu ya uingereza baada ya kuwaadhibu mabingwa watetezi Chelsea kwa bao tatu kwa nunge na kufanya wawe na pointi tano zaidi ya mabingwa hao watetezi.
 Mshambuliaji kutoka timu ya taifa Argentina Sergio Aguero alikua mwiba wa kuotea mbali baada ya kuwapiga gori moja matata sana mnamo dakika ya 31 akiwa amewalaza mabeki wa timu ya Chelsea ovyo ovyo.Aguero scores City's opening goal
 Kipa Asmir Begovic wa Chelsea alikua mwiba baada ya kuokoa gori nyingi ambazo zilikua zinatafutwana wauaji hao wa EtiahadManchester City's Fernandinho scores City's third. Kompany na fernandinho walifanya mauaji ya mwisho na kuiacha Chelsea hoi
Player Ratings
Man City: Hart (7), Sagna (7), Kompany (8), Mangala (7), Kolarov (8), Yaya Toure (7), Fernandinho (7), Navas (6), Silva (7), Sterling (7), Aguero (8).
Subs: Nasri (7), Demichelis (6), Bony (6)
Chelsea: Begovic (7), Ivanovic (5), Cahill (6), Terry (5), Azpilicueta (6), Ramires (6), Matic (7), Willian (6), Fabregas (6), Hazard (6), Diego Costa (6).
Subs: Cuadrado (6), Zouma (6), Falcao (6)
Man of the match: Sergio Aguero

Post a Comment

 
Top