Mshindi wa Big Brother mwaka 2014 Idris Sultanamemtaja mrembo wa Bongo
Movie Elizabeth Michael maarufu kama Lulu kuwa ndiye msichana ambaye
anaishi katika ndoto zake kwasasa.
Akiongea na Perfect255 Idris Sultan ameiambia kuwa Lulu ndiye msichana ambaye anahisi ametulia kwasasa ukilinganisha na mastaa wengine wa Bongo Movie na kujikuta akimmwagia sifa kibao.

Post a Comment