0

Anaitwa AMBWENE YESSAYA AKA AY ni mmoja wa wasanii ambaye ana mafanikio makubwa sana kimuziki kuliko msanii yeyote yule hapa nchini Tanzania,vile vile yeye ndiye msanii wa kwanza Tanzania kuipeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa mpaka ulaya.Historia yake ya muziki ilianzia miaka 1998

-Pesa yake ya kwanza kurekodi ngoma studio alipewa na mama yake Tshs 20000/=
-Ni mkulima (ana mashamba ya mpunga zaidi ya heka 100 huko ifakara Morogoro
-Ni mjasiriamali mwenye biashara nyingi ikiwemo duka la nguo
-Ni mmiliki wa vipindi vya TV vya MKASI na NGAZI KWA NGAZI vinavyorushwa EAST AFRICA TV

-Anamiliki kampuni ya UNITY ENTERTAINMENT inayojihusisha na uwakala wa kazi za sanaa,matangazo na kuunganisha wasanii,pia kuleta wasanii wa nje


CONCLUSION:HAYO NI MACHACHE KUHUSIA NA SUPER LEGEND AY MZEE WA COMERCIAL

Post a Comment

 
Top