0
Familia yenye nguvu katika muziki ya Jay Z na Beyoncé imempa nguvu anayoihitaji mgombea wa Urais wa Marekani wa cha Democratic, kwa kutumbuiza kwenye kampeni yake Ijumaa hii.
clinton-cleveland-2
Show hiyo ilifanyika kwenye chuo kikuu cha jimbo la Cleveland, Wolstein Center kama sehemu ya kuomba kura kwa Wamarekani. Kwenye show hiyo, Beyonce alitumbuiza nyimbo zake zikiwemo “Formation,” “Freedom,” na “Run the World (Girls).”
Beyonce pia alitumia nafasi hiyo kumuombea kura Clinton, “There was a time when a woman’s opinion did not matter. If you were black, white, Mexican, Asian, Muslim, educated, poor or rich; if you were a woman, it did not matter,” alisema Beyoncé.
“Less than 100 years ago, women did not have the right to vote. Look how far we’ve come from having no voice to being on the brink of making history again by electing the first woman president. Yes. But we have to vote. The world looks to us as a progressive country that leads change.”

Post a Comment

 
Top