Video: Wiz Khalifa & Taylor Gang – Sleep At Night 0 music, youtube 2:14 PM A+ A- Print Email Rapper Wiz Khalifa na kundi lake la Taylor Gang wameachia video mpya ya wimbo “Sleep at Night”, kutoka kwenye album ya TGOD Volume 1. ambayo itakuwa na nyimbo 23 ikiwa na wasanii kama Ty Dolla $ign, Juicy J, Berner, Chevy Woods, na Raven Felix.
Post a Comment