0

Wemasepetu
I never wanted a party this Year.... Cuz ni yale yale tu kila mwaka... So i said to myself sitofanya party mwaka huu na hata mwakani.... But Inshaaaaallllaaaaah panapo majaaliwa tuombeane uhai na uzima 2018 Tunafanya bonge la party maana ndo ntakuwa nagonga 30... But mumumu wangu akasema siku isiende hivi hivi so akaniandalia Dua and chakula cha jioni... Majirani zangu nd all my childhood friends bila kuwasahau Team Wema Damu walikuwepo.... Aisee hawa watu ni Ruba

Post a Comment

 
Top