TAZAMA Video Mpya: Sauti Sol - Kuliko Jana! Sauti Sol - Kuliko Jana Featuring RedFourth Chorus (Upper Hill School) 0 music, VIDEOS 4:25 AM A+ A- Print Email Kundi la muziki la Sauti Sol kutoka nchini Kenya limezidi kufanya vizuri katika tasnia ya muziki barani Afrika na nje ya Afrika. Hapa chini ni video ya wimbo wa ‘Kuliko Jana’ iliyotoka Septemba 12, 2016.
Post a Comment