0
YUSUF MANJI akatwa UDIWANI MBAGALA!!!
VURUGU kubwa zimetokea katika ofisi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam baada ya Wanachama wa chama hicho, kupinga hatua ya uongozi wa CCM mkoani hapa kutengua ushindi wa kura ya maoni kwenye ngazi ya Udiwani kata ya Mbagala kuu aliopata Yusuf Manji, ushindi huo kupatiwa na aliyeshika nafasi ya pili katika ngazi hiyo Abubakari Athumani.

Post a Comment

 
Top