0
Baada ya sauti ya muimbaji wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda akimtongoza Wema Sepetu kuvuja, mpenzi wake Shilole ametoa msimamo wake juu ya penzi lao ambalo limekuwa likikumbwa na majanga kila mara.


Kupitia Instagram yake, Shishi ambaye ndiye alikuwa akionekana kuwa ‘victim’ wa tukio hilo kwa kusalitiwa na boyfriend wake, ameweka wazi msimamo wake juu ya penzi lao kwa kupost picha wakiwa pamoja na wenye furaha na kuandika “M siachani nawe na ntakupenda zaidi!”

Post a Comment

 
Top