0
Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi walipofika katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kupata baraka za Wazee wa Chama  kabla ya kuelekea kuelekea katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ZEC  Bwawani Hotel Mjini Unguja kuchukua fomu  leo

Post a Comment

 
Top