KWA UFUPI:
Kitendo cha Jerry kuharakisha kazini na kupuuzia hisia za mke wake katika hali ya ubaridi ndio kosa lake pekee, ni kwa wakati huo ndipo Lisa mke wa Jerry alipojikuta akivuta hisia za kufanya mapenzi na MUUZA MAZIWA ili walau atoe mshawasha uliokuwa umempanda asubuhi hiyo iliyokuwa na mvua za rasharasha na kibaridi cha kupuliza., Kitendo chake cha kufanya mapenzi na MUUZA MAZIWA lilikuwa kosa lingne tena . Kwani Lisa anakutana na mimkuno ambayo hakuwahi kukutana nayo hata siku moja katika maisha yake, mavituzi hayo yanamdumbukiza Lisa mzima mzima katika dimbwi zito la mapenzi ya MUUZA MAZIWA na kujikuta anasahau yote kuhusu mumewe(Jerry).
Ni nini hatma ya penzi hilo jipya na la wizi lililoibuka ghafla kwenye moyo wa Lisa, na vipi kuhusu ndoa yake na Jerry itaweza kudumu kama tayari iimeshaanza kutafunwa na MUUZA MAZIWA?
Ungana na GIFT KIPAPA katika chombezo hii ambayo haita kusisimua tu bali pia kujifunza kitu kilichojificha katika mahusiano ya kmapenzi.
SIMULIZI YENYEWE:
Mvua kubwa ilinesha usiku uliopita, ahsubuhi ya siku hiyo yalibaki manyunyu tu na hali ya hewa ya kibaridi cha kupuliza, hali iliyowafanya wakazi wa jiji la da es salaam wabaki waking’ang’ania mashuka na kutamani siku hiyo iwe siku kuu ili shughuli za kimaendeleo zisifanyike na badala yake waendelee kuufaidi usingizi kama ilivyo kwa miisho ya wiki. Na wale waliolala na wenzi wao hali kwao ilikuwa mbaya zaidi walitamani waendelee kubaki kitandani ili waendelee kugalagala na kutomasana na wapenzi wao katika vitanda vyao.
“Kidogo tu mume wangu jamani”
No dear , nimechelewa sana , leo angalia saa mbili na robo!”
Yalisikika mabishano hayo katika nyumba moja ya kifahari maeneo ya kimara Stop over.
“jamani mpenzi wangu si kidogo tu, mwezio nateseka.”
Aliongea kwa sauti nyororo iliyolegea, msichana huyo mrembo aliyekuwa amevalia khanga moja iliyositili maungo yake. Alimwangalia mwanaume wake kwa macho malegevu yaliyolainika mithili ya mla kungu. Kisha taratibu akaupeleka mkono wake kifuani na kuitegua khanga aliyokuwa ameivaa. Khanga hiyo ilidondoka taratibu na kumuacha mwanamke huyo akiwa mtupu.
Mapaja yake laini yaliyo jaa jaa yalonekana sawia huku kiuno chake cha nyigu kilicho jaa shanga tupu kikizunguka taratibu na kuzifanya shanga zitikisika mithili ya wimbi la bahari mwanana pale upepo uvumapo.
Macho yalimtoka Jerry na mate yalimdondoka kwa hamu ya mahaba, japo alikuwa ni mkewe aliyemuona kila siku lakini siku hiyo alionekana mpya kwake, pozi alilokuwa amesimama liyafanya maungo yake yaonekane yana mvuto kweli kweli, makalio yake yallitikisika taratibu alipokuwa akijizungusha, wacha kifua chake ambacho alikibenua kama vile amepigwa ngumi ya mgongo , jerry hakuwa na chochote cha kufikiria kwa wakati huo ziaidi ya kuyatafuna makalio ya mrembo huyo.
Mikono yake ilicheza cheza ikitamani kuigusa ngozi laini mithili ya sufi ya mwanamke huyo iliyokuwa na rangi ya maji ya kunde.
“jamani Honey njoo basi!”
Lisa aliongea kwa sauti hiyo ya kimahaba na kumfanya , Jerry azidi kupagawa kimahaba,
Achana na mashine yake ambayo ilikuwa imesimama wima kiasi cha kuongeza sentimita kadhaa za urefu wa suruali yake.
“Oh, Dear haraka basi!”
Lisa alitoa sauti hiyo mara baada ya mumewe kushika kiuno chake na kuanza kuzichezea shanga.
“uh!”
Lisa alishtuka mara baada ya jerry kumvutia kwake na wakawa zero distance, mapaja ya Lisa yalikuwa yakii gusa gusa mashine ya Jerry, japo ilikuwa ndani ya suluari lakini lisa alihisi ilivyokuwa ikihema na kufurukuta ili itoke nje ya kufuli.
“Ah, honey!”
lisa alilalama mara baada ya jerry kuyashika makalio yake na kuanza kuyatomasa taratibu, midomo yao ilikuwa imeshaanza kunyonyana, macho yao yalifumba huku kila mtu akiyatomasa maungo ya mwenzake kwa ujuzi wake.
“ oh no, nazidi kuchelewa , tutakutana baadae honey!”
Aliongea Jerry ghafla na kujichoropoa toka mwilini mwa Lisa, mara baaaa a kuangalia saa iliokuwa kwenye dressing table.
“no, no, no ,no ,honey please you can’t do that to me please”
( Hapana , hapana, hapana, mpenzi huwezi kunifanyi hivyo mimi tafadhari )
Aliongea Lisa kwa sauti ya kubembeleza, alikuwa tayari hata kumsujudia mumewe kwa wakati huo, lakini sio kumruhusu aondoke na kumuacha katika hali kama hiyo.
Lakini Jerry hakuwa mtu wa aina hiyo, ambaye anaweza kuhairisha kwenda kazini eti sababu ya mapenzi peke yake, huyu jamaa alikuwa ni mchapa kazi haswana mkewe alijua hilo, lakini ahsubuhi hii alikuwa anajaribu bahati yake. Labda leo angempa kipaumbele yeye badala ya kazi hata kwa mara moja.
“jamani , honey kidogo tu”
Alizidi kubembeleza Lisa , lakini kama kawaida ya jerry hakujali. Alitembea haraka mpaka ulipo mlango wa kutokea nje ya chumba hicho.
Alipofika mlangoni alisimama na kisha kubusu kiganja cha mkono wake.
“mwaa”
Alafu akampulizia mkewe.
“Good bye honey.” ( kwa heri mpenzi )
Kisha akatoka nje.
“Honey!!”
lisa alilalamika huku akihema, mapigo ya moyo yalikuwa yakimwenda kwa kasi, bado alikuwa na joto la mapenzi. Hakuamini kama kweli mumewe anamuacha katika hali kama ile.
Alisikia sauti ya mlango ukifungwa na baadae muungurumo wa gari , jambo liloashiria kwamba kweli mumumewe ameondoka.
ITAENDELEA…….
source giftkipapa.com
Post a Comment