Mark Clattenburg ametangazwa kuwa ni mwamuzi katika Manchester Derby Jumamosi hii katika uwanja wa Old Trafford.
Waamuzi wengine ni Mike Dean aliyetajwa kama kamishna wa mchezo (fourth official), wakati Jake Collins na Steve Bennett wametajwa kukaa pembeni kushika vibendera.
Clattenburg alichezesha fainali ya Uefa Champions League 2015-16 na Euro 2016.
Post a Comment