Mshambuliaji Romelu Lukaku akishangilia gori la kwanza dhidi ya Southampton
Gori mbili zilizofungwa na mshambuliaji wa Everton Romelu lukaku zimeiwezesha timu yake kupata ushindi mzuri baada ya kuanza vibaya katika mechi yao ya kwanza baada ya kudroo
gori latatu liliweka kimyani na muingereza barkley na kuifanya Everton kushika nafasi ya tatu kwenye msimamo huku Southampton ikishika nafasi ya kumi na nane

Post a Comment