Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, John Magufuli amesema akishinda Urais atagawa Kompyuta mpakato(Laptop) kwa kila mwalimu nchi nzima. Amesema atachukua hatua hiyo ili kuinua kiwango cha Elimu Nchini. Pia ahaidi Mil. 50 kila Kijiji kukuza Uchumi akishinda Urais.
Post a Comment