0
Liverpool's Christian Benteke celebrates scoring the opening goal against Bournemouth.
mshambuliaji christian Benteke akishangilia baada ya kuifungia timu  yake gori la ushindi dhidi ya  Bournemouth
  Mshambuliaji wa Ubeligiji Christian Benteke ameifungia timu yake gori la kwanza tokea alipojiunga na timu hiyo kwenye dirisha la usajili, ingawa gori hilo lilipata vikwazo huku kiungo Philippe Coutinho akituhumiwa kuibia katika utengenezaji wa gori hilo.

  Liverpool imejiunga na timu nyingine tatu zilizocheza mechi mbili msimu huu bila kupoteza timu hizo ni Manchester City, Manchester United na Leicester.

Brendan Rodgers alianza mechi hiyo akiwa na kikosi kile kile kilichompa ushindi dhidi ya stoke city lakini bournemouth ndio walioanza vizuri na wangeweza kuongoza ndani ya dakika kumi za mwanzo

Player Ratings
Liverpool: Mignolet (6), Clyne (6), Lovren (6), Skrtel (6), Gomez (6), Milner (7), Henderson (7), Coutinho (8), Lallana (5), Ibe (6), Benteke (8)
Subs: Can (6), Firmino (5), Moreno (5)
Bournemouth: Boruc (6), Francis (6), Cook (6), Elphick (7), Daniels (5), Surman (6), Gradel (5), King (5), Ritchie (7), O'Kane (6), Wilson (5)
Subs: Tomlin (5), Smith (5), Gosling (5)
Man of the match: Christian Benteke

Liverpool sasa wapo nafasi ya tatu juu ya klabu ya manchester united tazama msimamo wa ligi
POS
LP CLUB P W D L GF GA GD PTS
1 (1) Manchester City 2 2 0 0 6 0 6 6
2 (2) Leicester City 2 2 0 0 6 3 3 6
3 (8) Liverpool 2 2 0 0 2 0 2 6
4 (3) Manchester United 2 2 0 0 2 0 2 6
5 (4) Everton 2 1 1 0 5 2 3 4
6 (5) Swansea City 2 1 1 0 4 2 2 4
7 (6) Crystal Palace 2 1 0 1 4 3 1 3
8 (7) West Ham United 2 1 0 1 3 2 1 3
9 (9) Norwich City 2 1 0 1 4 4 0 3
10 (10) Aston Villa 2 1 0 1 1 1 0 3
11 (11) Arsenal 2 1 0 1 2 3 -1 3
12 (12) Watford 2 0 2 0 2 2 0 2
13 (13) Tottenham Hotspur 2 0 1 1 2 3 -1 1
14 (14) Stoke City 2 0 1 1 2 3 -1 1
15 (15) Newcastle United 2 0 1 1 2 4 -2 1
16 (16) Chelsea 2 0 1 1 2 5 -3 1
17 (17) Southampton 2 0 1 1 2 5 -3 1
18 (18) West Bromwich Albion 2 0 1 1 0 3 -3 1
19 (19) Bournemouth 2 0 0 2 0 2 -2 0
20 (20) Sunderland 2 0 0 2 3 7 -4 0
POS
LP CLUB P W D L GF GA GD PT


Post a Comment

 
Top